Rose Muhando – Walionicheka Ft. Ringtone
Contents
Based In African, Tanzanian Gospel Music Minister Rose Muhando Releases a New Song in September, 2021 Titled “Walionicheka Ft. Ringtone” with Mp3 Download and Lyrics
This Song is an Undiluted Praise Medley that deserves your attention, Available on all digital platforms.
Mp3 Download for Walionicheka by Rose Muhando Ft. Ringtone
Walionicheka Lyrics Ft. Ringtone
Amina, Amina Amina
masimango Na
Maneno Makali
Yalikuwa Ndio
Fungu langu
Shida Tabu Viliumiza
Moyo wangu
masimango Na
Maneno Makali
Yalikuwa Ndio
Fungu langu
Maumivu ya moyo
Yaliinamisha nafsi Yangu
Asante Yesu
Kwakuwa Uliiona
Taabu Yangu
Nakushukuru
Kwa kuwa uliona
Msiba wangu
Asante Yesu
Kwa kuwa uliiona
Tabu yangu
Nakushukuru
Kwa kuwa uliutazama
Msiba wangu eh
Sasa ona ninaenselea
Walionicheka
Wanaona Haya
Asante Yesu Kwa
Kunishindia
Walionicheka
Wanaona Haya
Mp4 Video
Follow Us On Facebook InstagramTwitter